Thursday, August 20, 2009

MFIKISHE MSHINDO MWANAMKE

 Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana na hofu kutawala.

Katika hali ya kawaida kama mwanamke atashindwa kufikishwa kileleni na ampendaye basi hukosa hamu ya kufanya tendo siku nyingine anapohitajika kutoa penzi na hata akikubali kufanya basi hufanya kwa kutimiza wajibu kwani huwa hajui utamu wa majambozi, na mwanaume anayeshindwa kutotosheleza mpenzi wake kwa kumpa dozi inayostaili hadi kusikia utamu usiosimulika huyo uwezo wake huwa ni mdogo ambapo mimi huwa napenda kumuita jogoo.

Ndiyo je, unashangaa nini ushawahi muona jogoo alivyofasta kumaliza haja zake za mwili na kumuacha tetea akijiuliza anarudi tena ama ndiyo kaenda maana tetea hubaki kachutama akizani jamaa atarudi kumbe ndiyo imetoka babakeee!

Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo kutawaliwa na usaliti kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni mwanaume, mwanamke au ni wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya kumfikisha kileleni mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo wanawake wachache tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua kujishughulisha kunako sita kwa sita yaani namaanisha wanaume wasio wabinafsi kunako majambozi, tafadhali soma makala haya kwa umakini kisha nenda kayafanyiye kazi haya nitaninayokueleza:-

HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA!

Kadri mwanamke anavyojitahidi kuvuta hisia na kujishughulisha kwa namna moja ama nyinyingine kuweza kuinua hamasa yake ya mapenzi ili kuhakikisha anafika kileleni, ndivyo atakavyoweza kusikia raha ambayo humuwezesha kufikia mshindo.

Amini usiamini hata wanawake ambao wao wakishikwa kidogo tu kwenye kipengele G yaani g-spot na kupigwa katelelo kwa dk 1 hufika kileleni pindi wanapokumbana na presha kutoka kwa wapenzi wao basi hushindwa kufikiakwenye kilele cha raha hata kama mwanaume huyo atadumu kwenye uwanja wa mapambano kwa dk 30!

Mwanamke yoyote yule anapokumbana na presha zisizo na sababu toka kwa mwenza wake dakika chache kabla ya majambozi au kwenye uwanja wa malavedave basi hushindwa 'kupizi' kwani hata kama wazungu (bao) wakiwa wanakuja na dume likaanza kumpandisha presha wazungu hurudi kwao!

Hali hii haiwakumbi wanwake tu bali hata wanaume hushindwa kuwajibika vema faragha pindi wanapokumbana na presha za hapa na pale toka kwa wawapendao.

Hivyo basi wewe mwanaume ili uweze kumfikisha mwenza wako kileleni unapaswa kuhakikisha unaacha kumuuliza unakuja? siju la azizi unakaribia kukojoa? au mpenzi nakufanya vizuri? unajisikia raha? nakukamua vizuri kuliko ....(unamtajia mpenzi wake wa zamani)?

Njia mbadara ya kukabiliana na presha ni kutoelekeza fikra zako kwenye kupiga mabao, fuarahia mchakato mzima wakufanya mapenzi bila shaka unatambua kuwa mapenzi yanayolenga kufurahishana/kupena traha nyote huhitaji kufuata process zote muhimu na hayataki mapenzi ya kuu yaani yaani unamnyatia mpenzi wako na nadni ya dk 3 umeshamsaula na kumkamua na gemu linaisha mwanamke wa watu hata hisia hazijamuamka kidume uko pembeni unatweta yaani mipumzi ya mmmmh kibao, tumia muda wakutosha kutomasana na katika kipindi hiki cha kuandaana ndipo unapohitaji kuhakikisha unamaliza presha zote mlizonazo.

Hatua hii ya kwanza ukiitekeleza basi unaweza ukabadilika katika mtazamo wako juu ya kufanya mapenzi kwani wanaume wengi huwaza kukamua bao zaidi ya mojawakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanamfikisha mwanamke kitu ambacho nsi kweli kwani mwanamke unaweza ukamkojolea hata bao 7, lakini ukashindwa kumfikisha hivyo kama utaweza kutoa wazo la bao ngapi leo namchapanazo na kuondoa presha pindi mnapokuwa faragha, unaweza kushikwa na butwaa kwa jinsi mtoto wa kike atakavyokuwa anakulalamikia kwa raha anayoipata kitandani na kwa mara ya kwanza unaweza kusikia akikwambia nakuja dear......usiniulize anakuja wapi kudadeki!

HATUA YA PILI:

SAHAU SUALA YA KUJIFUNZA MBINU MPYA YA KUMKAMUA UMPENDAYE

Najua wengi wenu mnanishangaakwani mnaamini kuja na staili mpya kwenye uwanja wa mapambano ndivyo unavyoonyesha uwezo wako wakumudu mambo furani pindi unapokuwa faragha nataka nikuhakikishie kuwa kwa kuja na staili mpya kila kukicha ni vigumu sana kumfikisha mwanamke kileleni kwani yawezekana kabisa staili hiyo ikawa inamuumiza lakini anashindwa kukwambia kwa kuwa tu anataka usimuone mshamba hayajui mapenzi hiyo ataugulia kimya kimya bna kwa sababu hiyo basi mawazo yake yote huamia kwenye jinsi gani atatoa ushirikiano wakutosha kwenye hiyo staili mpya uliyompelekea hivyo basi ni vigumu amasa zake za mapenzi kuamka na kujiskia raha ambayo wewe mwanaume mbinafsi uliyetoka kuangalia mkanda wako wa ngono kama siyo kusimuliwa na wenzako kijiweni staili hiyo uliyoingia nayo ulingoni siku ya shughuli utaipata.

Hapa naomba niseme ukweli wanaume wengi wanapenda staili ya kubongolewa sizungumziii ule mchezo machafu wa tigo naomba nieleweke kwana, mwanaume akibongolewa na kulianzisha humchukua sekundwe kadhaa kupiga bao kwani hujisikia raha isiyo kifani kuyaona matikiti maji (wowowo) likizungushwa kwa madahaa huku nyonga ikienda kushoto kulia na ni balaa mwanamke akiwa anajua kukitumia kiuno chake hapo mwanaume anaweza kushituka hata hajakaa sawa wazungu hao! Ndiyo huu ndio ukweli lakini kwa bahati mbaya wapo dada zangu fulani fulani wao wanaangalia wanenguaji wa akudo huko wanavyochezesha nyonga zao kisha wanaenda kuwakatikia madume zao, hii haikubaliki duniani kote kiuno kinachotakiwa kwenye majambozi ni kile kinachogandishwa kiaina yaani kinapelekwa kushoto,chini, juu, kulia kama vile anayekipeleka hataki vile, yap nimekumbuka ni kama vile viuno vya mitego wanavyocheza wadada fulani kwenye taarabu yaani kama mwanaume umekamilika basi ukamwona dada fulani anacheza taarabu kama umekaa hutoinuka kudadadeki ujasili utautoa wapi wakati athumani kichwa wazi udenda unakuwa ushaanza kumtoka!

Mwanaume unachopaswa kuhakikisha ni kuwa unatumia staili ambayo itamuwezesha na mwenza wako kufika kileleni kisha kuendelea na staili zingine kwani wanawake wengi hufika mshindo mara moja tu na wachache hufika kileleni zaidi ya mara moja na kumbuka wengi hufika kileleni kwa kuchezewa ipasavyo kipengele G yaani sehemu zenye ahamasa ya mapenzi kwa mwanamke kuliko utamu wa kusimikwa mzizi


HATUWA YA TATU

Mjengengee hali yakukuamini katika penzi lenu, hakika mwanamke anapobaini kuwa unampenda na humtendi ni rahisi sana kupata raha ya mapenzi pindi mnapokuwa kwenye majambozi kwani mnapokuwa faragha hisia zake za mapenzi huwa juu sana si kwa kile kinachoendelea kwenye mwili wake bali hupanda juu kwa kuwa yupo na mtu anayempenda na kumthamini na anayejua nini maana ya kupenda hivyo kama kweli unampenda mwanamke unayetaka kuanzisha naye uhusiano ama uliyenaye katika uhusiano wa mapenzi hakikisha unaziba mianya yote ya yeye kuwa na mashaka juu yako yaani mfanye amini kuwa unampenda na ni yeye pekee aliyeiteka nafsi yako.


Mwanamke akiamini unampendahakika utazifaidi zake zabibu na katu hatakusaliti kwani utakuwa unamtosheleza kwa kila kitu yaani unampa mapenzi ya dhati ambayo wengi huitaji lakini huishia mikononi mwa walaghai kadhaa ambao wanajua vema kucheza na lugha na maneno matamu kuwapatia mabini za watu na wakishafunuliwa tu huanza nyodo na pengine kuwasahau wapenzi wao yaani wao kuwasiliana nademu wake kwa wiki mara moja ama wiki mbili mara moja tena mawasilainao yenyewe yanaanza mambo vipi na baada ya dakika chache kidume unaulizia mchezo sasa kwa staili hiyo usitegemee kabisa unapokuwa naye faragha utamdatisha kiasi cha kumfikisha! Thubutu yako atakupa miguno ya kinafiki na kukwambia nakuja kumbe hana lolote amechoka kuendelea kukupa huduma hiyo na anaona unamkera tu kwa kuendelea kwako kuwa kifuani na akiona unang'ang'ania basi bwana size atakupunguzia na kufanya msuguano uwe mkubwa sana kiasi cha kukufanya uhimili kukaa kifuani kwa sekunde kadhaa tu yaani wazungu anawaita kwa nguvu na wao bila hiyana wanakuja na usiombe kama unacheza mechi hiyo bila jezi mziki bake utautambua!

Nimalize kwa kusema kuwa jaribu leo, kesho na siku zote za maisha yako kufanya haya nayokueleza umfikishe kileleni umpendaye kwani vinginevyo wenzio watakusaidiakumuonyesha mpenzio raha za dunia kwa mambo matamu kumpatia na kumfanya abaki akigugumia kwa mambo matamu aliyopatiwa na kumng'angania aliyemjumpatia, usishanagye wapo hivi leo ambao wapo kwenye ndoa zao lakini wanashindwa kuachana na maboyfriend zao kutokana na kukereheshwa na kalaa za ndoa zao kwani waweza kukuta mwanamke amevumilia kwa miaka 10 kumtunzia heshima mumewe lakini janaume likawa linashinda baa wee na kungogewa kuanza kuwalamba wahudumu, sasa mke akibaini na akikutana na walimu vipofu huyooooanaenda kumtafuta bwana wake aliyekuwa anampatia kwenye mechi.

2 comments:

  1. Hiyo ni babukubwa,lakini mbona mnatuchanganya haya matangazo ya dawa za nguvu za kiume vipi mbona hata nyie mnayatangaza? wakati mnatushauri tusiystumie?

    ReplyDelete
  2. punguza maneno mengi na hiti kwenye pahala panapohusika.......mimi ni mdada na ninakukubalia yote uliyonena.....tatizo wakaka wakishazisoma hizi huwa wanaenda kuziaplly kama zilivyo hatasoma tena kitu kingine kuona kipi kinahusika zaidi tena atakapokuwa akikiapply atakuwa analazimisha ujisikie kamam alivosoma kumbe hivyo sivyo....kwani mf kama ni kitu kipya mi mwenyewe ntabaki nashangaa kwanza hiki kimetokea wapi? unless sikujui? na kama nakujua si vibaya sana ukasema sourse ili kumuondoa wasiwasi mwenzi wako na niweze kutoa ushirikiano.......afu hapa hapa........wadada wengi hasa wale wa bara, waliosoma, ma-perfectionism huwa hawotoi ushirikiano kutokana na sababu mbalimbali.....hii huwapelekea wenzi wao kutokujua nini response ya kile wanachokifanya hivyo mtu anaishia kufanya vile anavojua yeye na hii hupelekea mdada kutokupata kitu quality. kwa mfano.........mimi mume wangu alikuwa hajui kudo french kiss ....... nilimfundisha sasa ni mtabe hakuna.... so sisi wadada inabidi kujitoa fahamu kusema unachotaka. mbona ukienda hotel unapress order na huoni aibu bwana...haki yako sema kitu unachotaka....raha jipe mwenyewe
    nism

    ReplyDelete