Thursday, September 26, 2013

Dalili kuu za mwanamke anapokaribia kufika kileleni

1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,

2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila kutarajia.

- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri kabla ya tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa.

Wednesday, February 15, 2012

Siha Na Maumbile: Nguvu za Kiume


Msikie mtaalam huyu kwenye (Video) jinsi anavyoelezea tatizo sugu la nguvu za kiume na sababu zisababishazo tatizo hilo linalotesa wanaume wengi duniani.

Tuesday, August 25, 2009

Unawahi kufika kileleni? Unachelewa kupata nguvu za kurudia tendo? Dawa ni hii!

Uwanja wetu wa leo, utakuwa na kazi moja tu, kujadili tatizo la kuwahi kufika kileleni, kuchelewa kupata nguvu za kurudia tendo, chanzo na tiba yake. Dhumuni la kuandika mada hii limetokana na maoni ya wasomaji wengi.

Wasomaji hao ambao wengi ni wanaume, waliniomba niwaandikie hivyo ili kunusuru uhusiano wao. Wengine wapo kwenye ndoa, kwahiyo waliniambia kuwa ushauri wangu unaweza kuwa tiba timilifu kwao.

Hivyo basi, kutokana na kutambua umuhimu wao, ndiyo maana sijasita kuandika haya unayoyasoma.

Tatizo la kuwahi kufika kileleni, mara nyingi huendana na mambo mengine ambayo huchagiza wenzi wengi kusalitiana ama kutengana kabisa.

Wanawake wengi wanagombana na watu wao kwa sababu kama hizi, hawavutiwi kuwaona waume wao wakiwahi kufika kileleni, hivyo kushindwa kuwapa dozi inayotosheleza.

Wanasikitishwa na hali ya wenzi wao ya kukosa nguvu za kutosha wakati wa kufanya tendo la ndoa ama ugoigoi wa kuchelewa kurudiwa na nguvu za kufanya kweli.

Aidha, wanakosa amani wanapobaini kwamba wapenzi wao hawana msisimko wakati wa kufanya yale ‘mambo yetu’. Hata hivyo, tunapogeuka kisaikolojia hili si tatizo kubwa, bali linahitaji kutuliza akili.

Ninaposema kutuliza akili, nakuwa namaanisha kuwa wengi hawana magonjwa yanayohitaji dawa, isipokuwa wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia tu.

Vijana na baadhi ya watu wazima wengine wanaenda kwa waganga na wakati mwingine wakijikuta wanajiingiza katika matumizi ya mitishamba bila kuelewa kwamba ugonjwa wao haupo kwenye kasoro za kimaumbile, bali upo akilini.

Hapa nataka tukubaliane kwamba jambo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wanaodai kuwa hawana nguvu ni ukosefu wa elimu ya mabadiliko ya kibinadamu na ufahamu duni wa mbinu za kuwawezesha kucheza michezo ya kimapenzi kwa ufanisi.

Mpenzi ni sanaa pana, ina mafunzo mengi na ili uimudu, unatakiwa ujifunze kila siku mabadiliko yaliyopo. Sambamba na hilo, kujua mapito, mazingira, mabadiliko ya mwili na kuyakubali ni mambo ya msingi.

Pamoja na matatizo haya kuwakera wanawake kama nilivyotangulia kusema, huwafanya wanaume kukosa amani. Mara nyingi wanaopata dosari hizi, hujihisi wana nuksi.

Hata hivyo, mshangao unaokuja hapa ni kwamba wanaume hupenda kutafuta mbinu za kutatua tatizo lao bila kuwashirikisha wenzi wao, kana kwamba wao haliwahusu.

Saikolojia inatambua kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni zao la udhaifu wa mke na mume na sio la mwanaume peke yake kama watu wengi wanavyodhani.

Kwa mfano, mwanaume atapata wapi msisimko wa kimahaba kama mwanamke hatakuwa mtundu wa kubuni mbinu za kuufanya mwili uliopoa usisimke?
Atavutiwa nini mwanaume kurudia awamu ya pili, ikiwa kwenye mzunguko wa kwanza alikutana na harufu isiyofaa? Nakshi nakshi humuongezea mwanaume hamu ya kutaka tena na tena. Huo ndiyo ukweli!
Napenda niweke ukweli kweupe, mara nyingi tatizo la msisimko wa kurudia tendo, husababishwa na mwanamke mwenyewe. Kwa maana hiyo, ili litatuliwe ni lazima ziwepo juhudi za pande mbili.

Tuweke kituo kwa leo, nakuomba tukutane wakati ujao ili tuendelee na mada hii. Bila shaka, tutakapokutana ‘ishu’ ijayo, utaweza kung’amua mengi kuhusu somo hili. Mimi na wewe tupo together as one.

Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!

Saikolojia na maisha

Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya kimahaba.

Hata hivyo, kumetolewa maelezo na nafuu ya ongezeko la muda katika tendo la pili na kuendelea, ingawa bado suala la kutangulia kufika kileleni kabla ya wanawake limekuwa likiwahuzunisha wanaume wengi.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanaume anapowahi kufika kileleni kabla ya mwenzake humsababishia kero mwanamke anayeshiriki naye tendo, kwani humwacha njia panda pasipokuwa na hitimisho la raha ya kujamiiana.

Hali hii inatokana na maumbile ya uume wa mwanaume ambao husinyaa mara baada ya kuhitimisha mbio zake, lakini kwa mwanamke kuwahi si tatizo, kwani hakumfanyi ashindwe kumsindikiza mwenzake hadi kileleni.

Utofauti huu ndiyo unaowafanya wanaume wahuzunike zaidi wanapokabiliwa na janga hilo kiasi cha kufikia hatua ya kwenda kwa waganga/matabibu ili iwasaidie kuepuka balaa ya kutoka uwanjani na aibu.

Ingawa kumekuwa na mafanikio katika tiba za kisayansi, lakini bado wanaume wameshindwa kupata ukombozi wa kudumu wa tatizo hili. Wengi wamejikuta wakijiongezea mzigo wa fikra kwa kuzitumaini zaidi dawa au kuzitumia na kupata matokeo mabaya zaidi ya kuishiwa nguvu kabisa.

Kwa kufahamu mikinzamo iliyopo kati ya akili na tiba ya nguvu za kiume na madhara yachipukiayo imebainika kuwa, mtu anaweza kujitibu tatizo hilo kwa kutumia kanuni za kisaikolojia na mafanikio yasiyo na madhara yakapatikana.
Wataalamu wa kisaikolojia wanatambua kuwa kanuni ya ufanyaji mapenzi iko zaidi kwenye ubongo kuliko mwilini.

Kinachotokea hadi mtu akapata msisimko wa kufanya mapenzi si mwitikio wa mwili, bali ni utambuzi wa akili juu ya kiwango cha mapenzi kilichopokelewa kwenye ubongo unaojihusisha na hisia.

Thursday, August 20, 2009

DR OSBORN

Product za mimea na matunda

MenPower: Huongeza nguvu za kiume (ya kunywa) @ 35,000
Grey Hair Product: huondoa mvi au nywele nyeupe moja kwa moja @ 35,000

Contact;
0713 66 02 52
0754 23 69 18
0786 23 69 18


WANAWAKE
Slimmer: hupunguza unene (ya kunywa) @ 35,000
Mzuka: huongeza hips na makalio (ya kunywa) @ 35,000
Woman Power: huongeza hisia na hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake @ 35000

Contact;
0713 66 02 52
0754 23 69 18
0786 23 69 18

HANDSOME UP / TRIPPLE ACTION

Handsome up ni kwa ajili ya kutibu uume;

Ni kifaa cha uwezo wa 99% kurefusha,kunenepesha na kuongeza nguvu za kiume na kukufanya
ufurahie tendo la ndoa kutoka USA @ 150,000

Contact;
0784 18 37 37
0786 88 83 10

OZYMIX POWER

Baada ya kujichimbia kwa muda mrefu nchini Nigeria mabingwa wa tiba asilia wako Dar wakiwa na dawa yao bora na imara ya nguvu za kiume (OZYMIX POWER).

Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na bacteria ambao hushambulia mishipa iliyo katika uume na kufanya ukose nguvu za kufanya kazi.

Contact; (Piga simu uletewe)
0716 09 62 05
0756 72 68 65